TANGAZO la Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea ACSEE 2026

Filed in Elimu by on 27.08.2025 0 Comments
Share This Post
TANGAZO la Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea ACSEE 2026

TANGAZO la Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea ACSEE 2026

TANGAZO la Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea ACSEE 2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tangazo la usajili wa watahiniwa wa kujitegemea (Private Candidates) kwa ajili ya mtihani wa ACSEE 2026.

Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwajulisha watu wote wanaotarajia kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwaka 2026 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba;

  • Kipindi cha usajili kwa Watahiniwa wa Kujitegemea kimeanza tarehe 01/07/2025 hadi 30/09/2025.
  • Ada ya usajili ni Shilingi 50,000/=, watakaojisajili kwa kuchelewa yaani kuanzia tarehe 01/10/2025 hadi 31/10/2025 watalipa Shilingi 65,000/= ikiwa ni ada ya kawaida pamoja na faini.

Kabla ya kusajiliwa na Mkuu wa Kituo kwenye mtandao, waombaji wanapaswa kwenda kwenye Vituo vya Mitihani kuchukua namba rejea (reference numbers) zinazotolewa bure na kufanya malipo ya ada kupitia Benki kwa kutumia ‘Control Number’.

Ufafanuzi kuhusu utaratibu wa hatua za kufuata katika kutengeneza ‘Control Number’ na kujisajili, umetolewa katika tovuti ya Baraza la Mitihani la Tanzania: www.necta.go.tz.

Aidha, kwa watahiniwa ambao hawataweza kutumia mfumo huo wapige simu 0738785945 kwa msaada zaidi.

Waombaji wote wasisitizwa kuhakikisha wanajisajili mapema kwani mfumo wa usajili utafungwa mara baada ya kipindi cha usajili kukamilika.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *