MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Mbulu Town District

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Mbulu Town District
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Mbulu Town District
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mbulu, anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 09-09-2025 hadi 12-09-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI MBULU 29-08-2025
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
