NAFASI Za Kazi Mbinga District Council

NAFASI Za Kazi Mbinga District Council
NAFASI Za Kazi Mbinga District Council
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?NAFASI ZA 17 KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA 29-08-2025
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

How to apply
Ajira
Naomba nafasi ya kazi