MAGAZETI ya Leo Jumapili 31 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 31.08.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumapili 31 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 31 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 31 August 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
MAGAZETI ya Leo Jumapili 31 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 31 August 2025

Timu ya taifa ya Morocco imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa CHAN 2024 baada ya kuifunga Madagascar kwa mabao 3-2 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Moi Kasarani nchini Kenya.

Hili linakuwa taji la tatu kwa Morocco linaloifanya iwe timu iliyotwaa mara nyingi ubingwa wa CHAN, ambapo awali ililibeba mara mbili mfululizo 2018 na 2020.

Kwa kutwaa ubingwa huo Morocco itapata zaidi ya Sh 8.77 bilioni huku mshindi wa pili Madagascar ikijihakikishia kupata zaidi ya Sh 3 bilioni.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *