MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Nzega Town Council

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Nzega Town Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Nzega Town Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Nzega anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15.09.2025 hadi 18.09.2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili
wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI NZEGA 31-08-2025
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
