NAFASI 50 Za Kazi Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA)

NAFASI 50 Za Kazi Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA)
NAFASI 50 Za Kazi Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA)
TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA KWA WAHITIMU HAMSINI (50) WENYE TAALUMA YA KILIMO KWAAJILI YA KUENDELEZA ZAO LA PARACHICHI
Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo (MoA) kinatekeleza programu ya kushirikisha vijana katika kilimo ya Jenga Kesho iliyo Bora katika mazao mbalimbali nchini.
Katika mpango wa BBT- Parachichi, SUA na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko – COPRA imeandaa mpango wa kutumia wahitimu hamsini (50) wenye taaluma ya kilimo kwa kipindi cha miezi kumi na mbili (12) kutoa huduma za Ugani kwaajili ya programu maalum ya kuendeleza zao la parachichi nchini.
Mpango utatekelezwa katika msimu wa kilimo wa mwaka 2025/2026 ikiwa ni maandalizi ya uzalishaji wa parachichi ghafi.
Mpango huu utatekelezwa katika Wilaya ya Rugwe, Mkoa wa Mbeya.
Aidha, katika Utekelezaji wa program hii maalum ya huduma za ugani kupitia vijana wahitimu katika fani za kilimo (BBT Agricultural Extension Entrepreneurship Scheme – BBT AEES), inahitaji wahitimu hamsini (50) wenye sifa stahiki katika fani za kilimo ili kutoa huduma za ugani katika zao la parachichi kwa utaratibu wa ajira za muda kama ifuatavyo hapa chini kwenye PDF.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: NAFASI 50 Za Kazi Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA)
