NAFASI Za Kazi XYZ Transport Limited

Filed in Ajira by on 01.09.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi XYZ Transport Limited

NAFASI Za Kazi XYZ Transport Limited

NAFASI Za Kazi XYZ Transport Limited

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kampuni ya usafirishaji ya XYZ Transport Ltd na Rainbow Assembling Ltd, zinatangaza nafasi 30 ya kazi ya udereva wa magari makubwa, malori (tipping trailer).

Watanzania wenye sifa na uzoefu wanakaribishwa Kutuma Maombi Kwa Sifa tajwa hapa chini.

SIFA ZA MUOMBAJI NA VIGEZO

  • Awe na mafunzo ya udereva kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali kama VETA au NIT awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali.
  • Awe muaminifu asie na rekodi ya vitendo vya wizi.
  • Awe na cheti cha mafunzo kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.
  • Awe na leseni ya udereva class.
  • Awe na barua ya utambulisho kutoka ofisi ya Serikali ya Mtaa.
  • Awe na akili timamu mweye umri usiopungua miaka 25 na usiozidi umri wa miaka 50.
  • Awe na Wadhamini wawili wawe na barua ya utambulisho kutoka katika ofisi ya Mtaa au Kata.
  • Kila mwombaji aambatishe barua au cheti (certificate of Service) kutoka kwa mwajiri wake wa awali ili kuthibitisha utendaji wake.
  • Kila mwombaji aambatishe kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho wa taifa (NIDA).

Maombi yatumwe kwa njia ya posta (S.L.P 71285 Dar es Salaam) au yapelekwe katika ofisi za XYZ na Rainbow zilizoko mkoa wa Pwani wilaya chalinze katika kata ya Lugoba.

Kwa mawasiliano piga simu +255 713 056 853 au +255 756 996 855.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *