NAFASI Za Kazi Rorya District Council

NAFASI Za Kazi Rorya District Council
NAFASI Za Kazi Rorya District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Rorya anawatangazia Watanzania
wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na nne (14) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
Nafasi 14 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Rorya September 2025.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA 02-09-2025
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
