NAFASI Za Kazi Babati District Council

NAFASI Za Kazi Babati District Council
NAFASI Za Kazi Babati District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kazi tano (5) katika Halmashauri hiyo baada ya kupata kibali Kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI 03-09-2025
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
