NAFASI Za Kazi Kakonko District Council

NAFASI Za Kazi Kakonko District Council
NAFASI Za Kazi Kakonko District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anawatagazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada yya kupokea kibali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, Chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/09 cha 25.06.2024, kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO 03-09-2025
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
