SJUT Selected Applicants 2025/2026 

Filed in Elimu by on 03.09.2025 0 Comments
Share This Post
SJUT Selected Applicants 2025/2026

SJUT Selected Applicants 2025/2026

SJUT Selected Applicants 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Waombaji wafuatao wamechaguliwa kujiunga na programu mbalimbali za shahada kwa mwaka wa masomo 2024/2025 unaoanza tarehe 03 Novemba, 2025 Katika Chuo Kikuu cha St John’s Tanzania (SJUT).

Wanafunzi wote Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu hicho wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:

  • Wanafunzi wote wanatakiwa kushiriki katika programu ya elekezi ya lazima iliyopangwa kuanza tarehe 15 Novemba, 2025.
  • Wanafunzi waliokubaliwa wanapaswa kupata barua ya kujiunga kupitia akaunti yao katika SJUT–OAS (SJUT Online Application System)

Kuona majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu Cha St John’s Tanzania (SJUT) Kupitia tovuti ya www.sjut.ac.tz

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *