WALIOITWA Kazini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 03/09/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 03.09.2025 0 Comments
Share This Post
WALIOITWA Kazini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 03/09/2025

WALIOITWA Kazini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 03/09/2025

WALIOITWA Kazini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 03/09/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 hadi 16 Julai, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masijala, Chumba Na. 315 siku ya Jumatatu, tarehe 8 Septemba, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa kabla ya kupewa barua za ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *