MAGAZETI ya Leo Alhamisi 04 August 2025

Filed in Magazetini Leo by on 04.09.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 04 August 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 04 August 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 04 August 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ngarenaro, Mussa Luambano (50) na mlinzi wa shule hiyo, Olais Mollel (33), wakituhumiwa kumfanyia ukatili mwanafunzi wa darasa la saba.

Akitoa taarifa hiyo Septemba 3, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema watuhumiwa wanadaiwa kutumia mnyororo na kufuli, kumfunga mguu mwanafunzi wa darasa la saba, Hussein Juma (13), kwenye dawati na kisha kumfungia darasani Septemba Mosi, akidaiwa kuwa mtoro.

“Tunaendelea kukamilisha upelelezi wa tukio hilo, utakapokamilika taratibu nyingine za kisheria zitafuata,” amesema.

Mama mzazi wa mwanafunzi huyo, Amina Juma amesema kuwa Septemba Mosi, saa nane mchana alikuja mlizi wa shule akidai mtoto huyo anahitajika shuleni kwaajili ya maandalizi ya mitihani ya majaribio ya darasa la saba itakayofanyika kesho yake (Septemba 2).

“Nilimuambia mtoto anaumwa, anakohoa sana lakini alisisitiza anatakiwa shuleni, hivyo nilimuambia mtoto akaoge haraka aende. Nilimuomba mlinzi ahakikishe mtoto anarudi nyumbani mapema,” amesema na kuongeza:

“Waliondoka na mimi nikaendelea na kazi zangu, ilipofika saa moja usiku tunapigiwa simu na mlinzi kuwa mtoto amefungiwa ndani ya chumba kwa mnyororo na kufuli, hivyo tunatakiwa kumpelekea chakula na dawa maana anakohoa sana.”

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *