MAGAZETI ya Leo Ijumaa 05 September 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 05 September 2025
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 05 September 2025
Msanii wa nyimbo za Injili kutoka nchini Rwanda, Gloriose Musabyimana maarufu Gogo (36) amefariki Dunia Jijini Kampala nchini Uganda baada ya kuugua kwa muda mfupi
Wimbo wa ‘Every Day, I Need Blood of Jesus’ ulimpa umaarufu mkubwa hasa kwenye mtandao wa Tiktok, ambapo Mashabiki walitumia wimbo huo kufanya chalenji mitandaoni na kufungua njia ya kusikilizwa zaidi kupitia nyimbo nyingine kama ‘Uwo Mwana’
Taarifa iliyotolewa na Bikem ambaye alikuwa anamsimamia msanii huyo kwenye shughuli zake kupitia mitandao ya kijamii aliandika “R.I.P Gogo, habari mbaya sana! Mungu, nitie nguvu moyo wangu.”
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
