MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vikuu 2025/2026

Filed in Usajili by on 06.09.2025 0 Comments
Share This Post

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vikuu 2025/2026

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za
Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa Awamu
ya Kwanza ya udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya
Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2025/2026 imekamilika.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katika Awamu ya Kwanza ya udahili, jumla ya waombaji 146,879 wametuma
maombi ya kujiunga katika vyuo 88 vilivyoidhinishwa kudahili wanafunzi
katika Shahada ya Kwanza.

Aidha, jumla ya programu 894 zimeruhusiwa kudahili ikilinganishwa na programu 856 mwaka 2024/2025, ikiwa ni ongezeko la programu 38 za masomo.

Vilevile kwa upande wa nafasi za
udahili, mwaka huu kuna jumla ya nafasi 205,652 ikilinganishwa na nafasi
198,986 mwaka uliopita.

Hili ni ongezeko la nafasi 6,666 sawa na asilimia 3.3 katika programu za Shahada ya Kwanza.

Pia katika Awamu ya Kwanza ya udahili, jumla ya waombaji 116,596 sawa na asilimia 79.4 ya waombaji wote walioomba udahili, wamepata udahili
kwenye vyuo walivyoomba.

Idadi ya waombaji wa udahili na watakaodahiliwa inatarajia kuongezeka katika Awamu ya Pili ya udahili.

Majina ya waliodahiliwa katika awamu hii yametangazwa na vyuo husika hapa chini.

Orodha ya Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vikuu 2025/2026.

  1. UoI Selected Applicants 2025/2026
  2. IFM Selected Applicants 2025/2026
  3. SAUT Selected Applicants 2025/2026
  4. IRDP Selected Applicants 2025/2026 
  5. MUHAS Selected Applicants 2025/2026
  6. Kairuki Selected Applicants 2025/2026
  7. UDSM Selected Applicants 2025/2026
  8. UDOM Selected Applicants 2025/2026
  9. MZUMBE Selected Applicants 2025/2026
  10. Cuhas-Bugando Selected Applicants 2025/2026 
  11. SJUT Selected Applicants 2025/2026
  12. Ruhaha-Rucu Selected Applicants 2025/2026
  13. SUMAIT Selected Applicants 2025/2026
  14. ARU Selected Applicants 2025/2026
  15. TIA Selected Applicants 2025/2026
  16. CBE Selected Applicants 2025/2026
  17. AMUCTA Selected Applicants 2025/2026
  18. Arusha Technical College (ATC) Selected Applicants 2025/2026
  19. CUHAS Selected Applicants 2025/2026
  20. CUCoM Selected Applicants 2025/2026
  21. CFR Selected Applicants 2025/2026
  22. CAWM-Mweka Selected Applicants 2025/2026
  23. TICD Selected Applicants 2025/2026
  24. DIT Selected Applicants 2025/2026
  25. DMI Selected Applicants 2025/2026
  26. DUCE Selected Applicants 2025/2026
  27. EASTC Selected Applicants 2025/2026
  28. ESAMI Selected Applicants 2025/2026
  29. IAA Selected Applicants 2025/2026
  30. IAE Selected Applicants 2025/2026
  31. IPA Selected Applicants 2025/2026
  32. ISW Selected Applicants 2025/2026
  33. ITA Selected Applicants 2025/2026
  34. JUCo Selected Applicants 2025/2026
  35. JoKUCo Selected Applicants 2025/2026
  36. KIUT Selected Applicants 2025/2026
  37. KIST Selected Applicants 2025/2026
  38. KCMC Selected Applicants 2025/2026
  39. MARUCo Selected Applicants 2025/2026
  40. MUST Selected Applicants 2025/2026
  41. MUCE Selected Applicants 2025/2026
  42. MoCU Selected Applicants 2025/2026
  43. MUM Selected Applicants 2025/2026
  44. MNMA Selected Applicants 2025/2026
  45. MWECAU Selected Applicants 2025/2026
  46. NIT Selected Applicants 2025/2026

 

 

  1. Open University of Tanzania (OUT)
  2. Ruaha Catholic University (RUCU)
  3. Sokoine University of Agriculture (SUA)
  4. St. Augustine University of Tanzania (SAUT)
  5. St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Arusha Centre
  6. St.Augustine University of Tanzania (SAUT) Dar es salaam
  7. St. John’s University of Tanzania (SJUT)
  8. St. Joseph University College of Engineering and Technology (SJUCET)
  9. St. Joseph College of Health Sciences (SJCHS)
  10. State University of Zanzibar (SUZA)
  11. Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCo)
  12. Stella Maris Mtwara University College (SteMMUCo)
  13. Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Dar es Salaam
  14. Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Mbeya
  15. Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Mwanza
  16. Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Singida
  17. Tanzania Public Service College Dar es Salaam Campus (TPSD)
  18. Teofilo Kisanji University (TEKU)
  19. The International Medical and Technological University (IMTU)
  20. Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo)
  21. Tumaini University Makumira (TUMA)
  22. Unique Academy Dar es Salaam (UAD)
  23. United African University of Tanzania (UAUT)
  24. University of Arusha (UoA)
  25. University of Dar es Salaam (UDSM)
  26. University of Dodoma (UDOM)
  27. University of Iringa (UoI)
  28. Water Institute (WI)
  29. Zanzibar University (ZU)
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *