BAJETI ya Yanga 2025/2026 ni Tsh Bilioni 33.6

BAJETI ya Yanga 2025/2026 ni Tsh Bilioni 33.6
BAJETI ya Yanga 2025/2026 ni Tsh Bilioni 33.6
Katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Yanga uliofanyika ukumbi wa SuperDome, Masaki jijini Dar es salaam, ilisomwa taarifa ya mapato na matumizi kwa msimu uliopita 2024/2025.
Lakini pia katika mkutano huo pia ilisomwa bejeti ya klabu hiyo kwa msimu ujao wa 2025/2026.
Akisoma taarifa ya mapato na matumizi ya klabu, Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji alisema kuwa mapato ya klabu kwa msimu uliopita ni Tsh Bilioni 25.6 huku matumizi yakiwa Tsh Bilioni 25.3 kukiwa akiba ya takribani laki 3.
Aidha Bajeti ya Yanga kwa msimu ujao 2025/26 ni Tsh Bilioni 33.6
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
