NYARAKA Muhimu zinazohitajika Unapoitwa Kwenye Usaili

Filed in Usaili by on 08.09.2025 0 Comments
Share This Post
Nyaraka Muhimu zinazohitajika Unapoitwa Kwenye Usaili

Nyaraka Muhimu zinazohitajika Unapoitwa Kwenye Usaili

Nyaraka Muhimu zinazohitajika Unapoitwa Kwenye Usaili

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Sekretarieti ya Ajira, au Sekretarieti ya Kuajiri Watumishi wa Umma (PSRS) , ndicho chombo kikuu cha serikali chenye jukumu la kuajiri watumishi wa umma nchini Tanzania.

Sekretarieti ya Ajira inahakikisha kwamba mchakato wa kuajiri unafuata kanuni za uwazi, usawa na sifa.

Ili kufanya mchakato huu kuwa wa ufanisi na kufikiwa, nafasi zote za kazi zimeorodheshwa kwenye Tovuti ya Ajira ambayo ni jukwaa rasmi la kuajiri watu katika utumishi wa umma.

Sekretarieti ya Ajira imezitaja nyaraka muhimu zinazohitajika unapoitwa kwenye usaili, nyaraka hizo muhimu zimeambatanishwa hapa chini.

Nyaraka Halisi (Original)

  • Cheti halisi cha kuzaliwa.
  • Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho Cha Mkazi, Hati ya kusafiria, Kadi ya Mpiga Kura, Leseni ya Udereva au Barua kutoka Serikali ya Mtaa.
  • Vyeti halisi vya kitaaluma.
  • Transcript.
  • Hati ya kiapo, endapo majina yanatofautiana kwenye nyaraka.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

Tembelea Tovuti www.ajira.go.tz
Mawasiliano 0262160350

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *