MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 10 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 10 September 2025
MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 10 September 2025
Kampuni ya Mati Super Brands ltd yenye Makao yake Makuu Babati Mkoani Manyara, kupitia Taasisi yake isiyo ya kiserikali ya Mati foundation, imeanza rasmi mradi wa kukabidhi pikipiki za magurudumu matatu zinazotumia nishati ya umeme kwa Watu wenye ulemavu Nchini Tanzania ili kuwasaidia kufanya shughuli zao za kiuchumi kwa ufanisi zaidi na bila gharama za mafuta.
Hafla ya makabidhiano imeongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mati Super Brand inayozalisha na kusambaza vinywaji changamshi kama Strong na Tanzanite gin, David Mulokozi.
Mulokozi amesema kuwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Jamii hasa wale wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kuingiza kipato wanahitaji kuwezeshwa kwa miundombinu bora ili waweze kuchangia uchumi wa taifa kupitia shughuli wanazozifanya.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
