MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 11 September 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 11 September 2025
MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 11 September 2025

Mbunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemuomba Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifanikiwa kushinda na kuwa Rais wa Tanzania kwa awamu nyingine aidhinishe kugawanywa kwa Mkoa wa Tabora ili upatikane Mkoa mwingine wa Nzega kutokana na ukubwa wa Mkoa huo.
Akiongea September 10, 2025 wakati wa kampeni Nzega Mjini, Bashe amesema “Sisi hapa ombi letu kwako Mgombea, Watu wa Bukene ili aende kwenye Makao Makuu ya Halmashari ya Nzega Vijijini anasafiri zaidi ya KM 220, Mgombea ombi langu kwako katika kipindi chako cha pili nakuomba Rais tufikirie kuwepo na Halmashauri ya Bukene na Halmshauri ya Ndara, na nakutoa hofu kuhusu uwezo na rasilimali za kuendesha Halmashauri hizo hakuna tatizo”
“Tunaomba Mkoa huu ugawanywe kwasababu ndio Mkoa mkubwa kuliko Mikoa yote Tanzania, hii itakuwa kumbukumbuku kwasababu hili tumelilia kwa muda mrefu, na GDP ya Mkoa huu usiwe hofu nayo wala haitokuwa mzigo kwa Serikali”
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
