AJIRA Mpya 12000 Kada ya Afya na Elimu

Filed in Ajira by on 13.09.2025 0 Comments
Share This Post
AJIRA Mpya 12000 Kada ya Afya na Elimu

AJIRA Mpya 12000 Kada ya Afya na Elimu

AJIRA Mpya 12000 Kada ya Afya na Elimu

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema endapo ataendelea kupewa ridhaa ya kuongoza nchi katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Tarehe 29, Oktoba, Serikali yake ndani ya siku 100 itaajiri watumishi 5,000 wa kada ya Afya na 7,000 wa kada ya Elimu ili kuongeza ustawi wa sekta hizo sambamba na kuzalisha ajira kwa Watanzania.

Dkt. Samia ameyasema hayo Septemba 11, 2025, akiwa katika Viwanja vya Tarafa ya Uyui kata ya Ilolanguru wilayani Uyui, mkoani Tabora, wakati akiendelea na kampeni za kunadi sera za Chama hicho.

AJIRA Mpya 12000 Kada ya Afya na Elimu

AJIRA Mpya 12000 Kada ya Afya na Elimu

“Ndugu zangu Wananchi wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kama mtaendelea kutuamini Chama cha Mapinduzi na kukipa ushindi ndani ya siku 100 katika sekta ya afya tutaajiri Watumishi 5,000 ambao pia bila shaka watafika na hapa, lakini vilevile pia katika sekta ya Elimu takribani Watumishi 7,000 tutaajiri na hapa pia watafika,” alisema Dkt. Samia.

Aidha, amebainisha kuwa kutokana na ukubwa wa eneo la Tabora na mahitaji makubwa ya huduma, CCM itajielekeza katika kujenga vituo vipya vya afya na kusaidia kumalizia ujenzi wa miradi ya afya iliyoanzishwa na wananchi.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *