NAFASI Za Kazi Global TV

Filed in Ajira by on 13.09.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Global TV

NAFASI Za Kazi Global TV

NAFASI Za Kazi Global TV

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Global TV inatangaza nafasi za kazi kwa vipindi vya Burudani Udaku (nafasi 4), Masuala ya Kijamii (nafasi 2).

SIFA KUU ZA KUJIUNGA

  • Makazi: awe Mkazi wa Dar es Salaam.
  • Uzoefu: Awe tayari kufanya internship.
  • Ithibati: lazima awe na vyeti vyao kuthibitisha sifa zake.

Sifa Za Ziada: Uwe mtu anayejituma, anayefuatilia mambo, na mwenye shauku ya kufanikisha nafasi hizi.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Wasilisha maombi yako kwenye Reception za Global TV, Mori Road, Sinza
0687 531 251

Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 15 Septemba 2025

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *