MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 15 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 15 September 2025
MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 15 September 2025
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili Zanzibar Septemba 14, 2025, baada ya kukamilisha mikutano ya kampeni katika Mkoa wa Kigoma.
Ujio wake unaashiria kuanza kwa awamu nyingine ya kampeni za kuomba ridhaa ya Wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu ujao.
Dkt. Samia anatarajiwa kuanza rasmi ratiba ya mikutano ya kampeni Visiwani humo, ambapo atakutana na Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Unguja na Pemba kwa ajili ya kuwasilisha sera na ahadi za CCM kuelekea uchaguzi Mkuu Oktoba 29.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
