KIKOSI Cha Yanga vs Simba 16 September 2025

KIKOSI Cha Yanga vs Simba 16 September 2025
KIKOSI Cha Yanga vs Simba 16 September 2025
Kikosi Cha Yanga SC vs Simba SC mchezo wa Ngao ya Jamii Leo Jumanne tarehe 16 September 2025.
Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam Kuanzia Saa 11:00 jioni.
Hiki hapa Kikosi rasmi Cha Yanga SC vs Simba SC 16 September 2025.
1:Djigui Diarra
2:Israel Mwenda
3:Shadrack Boka
4:Dickson Job (C)
5:Ibrahim Abdallah
6:Duke Abuya
7:Max Nzengeli
8:Azizi Andabwile
9:Prince Dube
10:Mudathir Yahya
11:Pacome Zouzoua

Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
