NAFASI 300 Za Kazi Hope Holdings

Filed in Ajira by on 16.09.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI 300 Za Kazi Hope Holdings

NAFASI 300 Za Kazi Hope Holdings

NAFASI 300 Za Kazi Hope Holdings

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kampuni ya Hope Holdings ambayo inaendesha Biashara mbalimbali katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na Maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki inatangaza nafasi za ajira kwa Vijana 300 wa kiume watakaoajiriwa kama Maafisa mauzo kwenye Maduka ya AMAL CARPETS.

VIGEZO WAOMBAJI.

  • Wawe Wahitimu wa Chuo.
  • Wawe na Diploma ya Utawala wa Biashara, Masoko na Mauzo au kozi yoyote ya biashara inayohusiana.
  • Wawe na uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja katika biashara ya rejareja.
  • Wawe ni Wanaume.
  • Wawe na ujuzi wa mawasiliano na ujuzi wa mauzo.

Usaili utafanyika kwa siku mbili za September 16 na Septemba 17 kuanzia saa mbili kamili asubuhi hadi saa sita kamili mchana.

Waombaji wote wanatakiwa kufika kwenye Ofisi za HOPE HOLDING zilizopo Morroco Square Mall pembeni ya Mataa ya Morocco Kinondoni gorofa ya pili wakiwa na CV zao, nakala za vyeti vyao na nakala ya Vitambulisho vyao vya NIDA.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *