KUITWA Kwenye Usaili TLSB, TAEC, TARI, eGa, TASAC, OTR na CBE 17/09/2025

KUITWA Kwenye Usaili TLSB, TAEC, TARI, eGa, TASAC, OTR na CBE 17/09/2025
KUITWA Kwenye Usaili TLSB, TAEC, TARI, eGa, TASAC, OTR na CBE 17/09/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba yaBodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Tume ya Nguvu za AtomuTanzania (TAEC), Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGa), Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC), Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Taasisi ya Uongozi anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 26/09/2025 hadi 08/11/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-09-2025
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: eGa, KUITWA kwenye Usaili TLSB, OTR na CBE 17/09/2025, TAEC, TARI, TASAC
