KUITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano Karagwe District Council 17/09/2025

KUITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano Karagwe District Council 17/09/2025
KUITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano Karagwe District Council 17/09/2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe anawatangazia Wasailiwa wote Kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la Il waliofauli usaili wa mchujo uliofanyika tarehe 17/09/2025 kuwa usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 18/09/2025 saa 7:30 Asubuhi katika Jengo Jipya la Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya.
Wasailiwa wanapaswa kufika na VYETI VYAO HALISI kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya juu na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji Wasailiwa wanapaswa kufika na kitambulisho kwaajili ya utambuzi.
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na kitambulisho cha mkazi, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha kazi, kitambulisho cha uraia au Hati ya kusafiria.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano Karagwe District Council 17/09/2025
