MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 18 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 18.09.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 18 September 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 18 September 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 18 September 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha tukio la mauaji lililotokea jioni ya Septemba 16, 2025 saa 12:50 katika Kitongoji cha Ululu, Kata ya Idiwili, Wilaya ya Mbozi ambapo Evaristo Zabroni Mwambogolo (28) Mkulima wa eneo hilo alichomwa kisu kifuani na kufariki dunia wakati akipelekwa Zahanati ya Lyula kwa matibabu.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, chanzo cha ugomvi huo ni mabishano makali kuhusu ushabiki wa Timu za Simba na Yanga na inadaiwa Evaristo na Exavery Jamsoni Mwaweza walianza kubishana kuhusu ubabe wa Timu hizo hali iliyopelekea Mtuhumiwa Exavery kuchomoa kisu alichokuwa nacho na kumjeruhi Evaristo sehemu ya moyo.

Mtuhumiwa alitoroka kusikojulikana baada ya tukio hilo ambapo tayari Jeshi la Polisi limeanzisha msako mkali kuhakikisha anakamatwa ili kufikishwa kwenye Vyombo vya sheria huku pia uchunguzi wa tukio hilo ukiendelea.

Kamanda wa Polisi Mkoani humo ametoa wito kwa Wananchi kuepuka mabishano yenye hisia kali hasa yanayohusu Timu za Simba na Yanga akisisitiza kwamba upendo wa michezo haupaswi kugeuka chachu ya vurugu.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *