KUITWA Kazini Karagwe District Council 19 September 2025

KUITWA Kazini Karagwe District Council 19 September 2025
KUITWA Kazini Karagwe District Council 19 September 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II waliofanya usaili tarehe 17-09-2025 na tarehe 18-09-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti kazini tarehe 22/09/2025 wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DOWNLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: KUITWA Kazini Karagwe District Council 19 September 2025
