KUITWA Kazini Shinyanga Municipal Council 19 September 2025

KUITWA Kazini Shinyanga Municipal Council 19 September 2025
KUITWA Kazini Shinyanga Municipal Council 19 September 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi ya Dereva II na Wasaidizi wa Kumbukumbu II waliofanya usaili tarehe 15.09.2025 hadi tarehe 18.09.2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi hao waliofaulu usaili ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Aidha waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti kwa mwajiri ndani ya siku 7 kuanzia tarehe ya leo, tarehe 19/09/2025 wakiwa na vyeti halisi (Original certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe kabla ya kupewa barua ya ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi zingine.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kazini Shinyanga Municipal Council 19 September 2025
