KUITWA Kwenye Usaili TFS Tanzania

Filed in Usaili by on 19.09.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili TFS Tanzania

KUITWA Kwenye Usaili TFS Tanzania

KUITWA Kwenye Usaili TFS Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kamanda wa Kanda-Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kwa niaba ya Kamishna wa
Uhifadhi, Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) anapenda kuwataarifu
waombaji wote walioomba kazi za Mkataba wa mwaka Mmoja kwa Tangazo lenye Kumb.AC.18/88/01B/42 la tarehe 12/08/2025 kuwa Usaili unatarajiwa
kuendeshwa kuanzia tarehe 22/09/2025 Mpaka tarehe 23/09/2025 na hatimae
kuwapatia ajira za Mkataba wa Mwaka Mmoja waombaji kazi watakaokuwa
wamefaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo;

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe 22/09/2025 mpaka tarehe 23/09/2025 kama ilivyoonyeshwa kwenye Tangazo hili. Muda wa kuripoti kwa ajili ya usaili ni saa moja kamili asubuhi (01.00 Asubuhi). Sehemu ambapo usaili huu utafanyika,
    umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi, kimojawapo kati ya Kitambulisho cha Uraia, Mpiga Kura, Leseni ya Udereva, hati ya Kusafiria au barua ya Serikali ya Mtaa.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi vya kuzaliwa, Kidato cha IV, VI, Stashahada na Astashahada kulingana na sifa za Mwombaji.
  • Testmonials, Provisional results, statement of Results, Result slip hazitakubaliwa na HAWATORUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
  • Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanya usaili.
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika Tangazo hili, watambue kuwa hawakukidhi vigezo, hivyo wasisite kuomba tena nafasi za kazi zitakapo tangazwa na kuzingatia mahitaji ya Tangazo.

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Kwenye Usaili Kutoka Kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS).

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *