NAFASI Za Kazi UNESCO Tanzania

NAFASI Za Kazi UNESCO Tanzania
NAFASI Za Kazi UNESCO Tanzania
Shirika la UNESCO nchini Tanzania, lililoanzishwa mwaka 1974, linalenga kusaidia Maendeleo ya Taifa kupitia Elimu, Sayansi, Utamaduni, Mawasiliano na Habari.
Shirika hilo linashirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo serikali na asasi za kiraia katika kuimarisha amani, kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo endelevu.
Tanzania pia ni nyumbani kwa maeneo kadhaa ya Urithi wa Dunia wa UNESCO, kama vile Hifadhi ya Kitaifa ya Kilimanjaro na Hifadhi ya Kitaifa ya Serengeti.
Shirika hilo linatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizotangazwa Katika Tangazo hili la Ajira.
Maombi yanaalikwa kutoka kwa Watanzania wenye ujuzi na uzoefu kwaajili Kutuma Maombi ya Nafasi Za Kazi Zilizotangazwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Shirika la Utamaduni (UNESCO).
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
