MATOKEO Gaborone United vs Simba 20 September 2025

MATOKEO Gaborone United vs Simba 20 September 2025
MATOKEO Gaborone United vs Simba 20 September 2025
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gaborone United katika mchezo wa kwanza raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali.
Mchezo huh ulipigwa kwenye Uwanja wa Obed Itani Chilume, zamani Francistown Sports Complex mjini
Francistown, Botswana.
Bao pekee la Simba limefungwa na winga Elie Mpanzu Kibisawala dakika ya 16 akimalizia kazi nzuri wa beki wa Kimataifa wa Tanzania, Shomari Salum Kapombe.
Timu hizo zitarudiana Jumapili ya Septemba 28 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam na
mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla kati ya Simba Bhora ya Zimbabwe na Nsingizini Hotspurs ya Eswatini.
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
