NAFASI Za Kazi Danish Refugee Council (DRC)

NAFASI Za Kazi Danish Refugee Council (DRC)
NAFASI Za Kazi Danish Refugee Council (DRC)
Danish Refugee Council (DRC) ni shirika la kibinadamu lililoanzishwa mwaka 1956 linalotoa usaidizi, kulinda, kutetea na kujenga mustakabali endelevu kwaajili ya wakimbizi na watu wengine walioathiriwa na kuhama kwao.
DRC imekuwa ikitekeleza miradi ya dharura nchini Tanzania tangu kuanza kwa mgogoro wa wakimbizi wa Burundi mwaka 2015 katika kambi tatu za wakimbizi zilizopo Mkoa wa Kigoma kwenye mpaka na Burundi.
Miradi iliyounganishwa ya DRC kwaajili ya wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na jumuiya zinazowakaribisha inajumuisha sekta kama vile Uratibu wa Kambi na Usimamizi wa Kambi (CCCM), Ulinzi (CBP, PSN, GBV, CP na Kisheria), Makao na miundombinu, na Ufufuaji Kiuchumi.
Shirika hilo linatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza Nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Danish Refugee Council (DRC)
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
