TAARIFA Mpya Kuhusu Ajira Za Jeshi la Magereza 2025

Filed in Ajira by on 21.09.2025 0 Comments
Share This Post
TAARIFA Mpya Kuhusu Ajira Za Jeshi la Magereza 2025

TAARIFA Mpya Kuhusu Ajira Za Jeshi la Magereza 2025

TAARIFA Mpya Kuhusu Ajira Za Jeshi la Magereza 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Jeshi la Magereza linapenda kuujulisha umma kwamba tarehe 15 Agosti, 2025 lilitangaza nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania wenye sifa.

Maombi yote yalipaswa kuombwa kupitia mfumo wa ajira wa magereza www.ajira.magereza.go.tz ambapo mwisho wa kuwasilisha maombi ulikuwa tarehe 29 Agosti, 2025.

Hivi karibuni kumeibuka baadhi ya watu wakiwahadaa na kuwalaghai vijana kuwasaidia kupata ajira hiyo na kuwaomba fedha.

Jeshi linatoa rai kwa wananchi wote kuwa makini na matapeli wa aina hiyo.

Kutokana na utapeli huo Jeshi limechukua hatua na kufikisha suala hilo kwenye mamlaka husika kwa hatua zaidi.

Jeshi hilo limesema utaratibu wa usaili wa vijana walioomba na kukidhi vigezo utatolewa rasmi na Jeshi baada ya kukamilika kwa hatua za uchambuzi huo.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *