HEMED Suleiman Kocha wa Muda Simba SC

Filed in Michezo by on 22.09.2025 0 Comments
Share This Post
HEMED Suleiman Kocha wa Muda Simba SC

HEMED Suleiman Kocha wa Muda Simba SC

HEMED Suleiman Kocha wa Muda Simba SC

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Klabu ya Simba imemtangaza Hemed Suleiman (Morocco) kuwa kocha mkuu wa muda kwenye michezo ya kimataifa.

Hatua hiyo imetokana na kuondoka kwa kocha Fadlu Davis na kocha msaidizi, Suleiman Matola kupewa kadi nyekundu kwenye mchezo dhidi ya Gaborone United.

HEMED Suleiman Kocha wa Muda Simba SC

HEMED Suleiman Kocha wa Muda Simba SC

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *