KUITWA Kwenye Usaili – BBT Parachichi SUA Septemba 2025

Filed in Usaili by on 23.09.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili - BBT Parachichi SUA Septemba 2025

KUITWA Kwenye Usaili – BBT Parachichi SUA Septemba 2025

KUITWA Kwenye Usaili – BBT Parachichi SUA Septemba 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) anapenda kuwaarifu Waombaji wa nafasi za muda kupitia program maalum ya kuendeleza zao la Parachichinchini zilizotangazwa tarehe 29.08.2025 kwamba usaili wa nafasi hizo umepangwa kufanyika tarehe 26.09.2025 katikaKampasi ya Edward Moringe Mjini Morogoro.

Waombaji watakaofaulu katika mchakato huo watapangiwa vituo vya kazi na Menejimenti ya Chuo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili huo ni wale waliokidhi vigezo kutokana na sifa zilizoainishwa katika tangazo la kazi lilitolewa, na wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo hapa chini.

  • Usaili utafanyika tarehe 26.09.2025 kama ilivyooneshwa kwenye tangazo.
  • Muda na sehemu ambapo usaili utafanyika vimeainishwa kwa kila Kada/kundi.
  • Kila Msailiwa anapaswa kufika na moja kati ya vitambulisho vifuatavyo:-Kitambulisho chaMkazi, kazi, Mpiga kura, Uraia au Hati ya Kusafiria.
  • Kila Msailiwa anapaswa kufika na VYETI HALISI, vya kuzaliwa, Sekondari (kidato cha IV, VI), Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Msailiwa yeyote atakayewasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) badala ya vyeti halisi, HATARUHUSIWA KUENDELEA NA MCHAKATO USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafirina Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kila Msailiwa aliyesoma nje ya Tanzania afike na vyeti vya uthibitisho (ithibati) vilivyohakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo vilivyoainishwa katika tangazo la kazi.
  • Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia vigezo vya tangazo husika.
  • Kila Msailiwa ambaye taaluma yake inahitaji usajili wa Bodi za Kitaaluma na sifa hiyo, anapaswa kufika na cheti/vyeti Halisi vya Usajili.
  • Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *