MATOKEO Yanga SC vs Pamba Jiji 24 September 2025

MATOKEO Yanga SC vs Pamba Jiji 24 September 2025
MATOKEO Yanga SC vs Pamba Jiji 24 September 2025
Klabu ya Yanga imeanza vyema msimu Mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2025/2026 Kwa Kuibuka na Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo uliopigwa Leo tarehe 24 September 2025 Kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam.
Bao la Kwanza lililofungwa Lassine Kouma dakika ya 45+4, bao la Pili lilifungwa na Maxi Nzengeli 63, huku bao la tatu na la ushindi lilifungwa na Mudathir Yahya kufunga bao la tatu dakika 90+2.
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
