MABADILIKO ya Eneo la Usaili OATS Mkoa wa Ruvuma

Filed in Usaili by on 25.09.2025 0 Comments
Share This Post
MABADILIKO ya Eneo la Usaili OATS Mkoa wa Ruvuma

MABADILIKO ya Eneo la Usaili OATS Mkoa wa Ruvuma

MABADILIKO ya Eneo la Usaili OATS Mkoa wa Ruvuma

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili utakaofanyika kwa njia ya Mtandao (OATS) Mkoa wa Ruvuma mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya eneo la usaili.

Usaili utafanyika VETA- SONGEA badala ya Chuo cha Ualimu Songea kama ilivyoainishwa kwenye akaunti zenu za ajira portal.

Muda na tarehe utabaki hivyo hivyo kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

MABADILIKO USAILI SONGEA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *