MATOKEO Simba SC vs Fountain Gate 25 September 2025

MATOKEO Simba SC vs Fountain Gate 25 September 2025
MATOKEO Simba SC vs Fountain Gate 25 September 2025
Klabu ya Simba SC imeanza vyema
kampeni ya kusaka Ubingwa wa Ligi Kuu Msimu wa 2025/2026 baada ya kuibuka na Ushindi wa Mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo
uliopigwa Leo Alhamisi ya tarehe 25 September 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam.
Bao la Kwanza lililofungwa na Rushine de Reuck dakika ya tano tu, Mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu uliopita Jean Charles Ahoua aliifungia Simba bao la pili dakika ya 36.
Bao la tatu la Simba lilifungwa na Simba mweusi Jonathan Sowah dakika ya 37.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
