NAFASI Za Kazi KEDA Tanzania Ceramics Company Limited

Filed in Ajira by on 26.09.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi KEDA Tanzania Ceramics Company Limited

NAFASI Za Kazi KEDA Tanzania Ceramics Company Limited

NAFASI Za Kazi KEDA Tanzania Ceramics Company Limited

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

KEDA (T) Ceramics Co. Ltd ni kiwanda cha kutengeneza glasi nchini Tanzania, kitega uchumi kikubwa kutoka nje ya Kampuni ya KEDA Industrial Group, kampuni ya China inayojishughulisha na utengenezaji wa mitambo na bidhaa za ujenzi.

Kiwanda hicho kikiwa katika kijiji cha Msufini Kidete Wilaya ya Mkuranga kilianza uzalishaji mwaka 2024 kikiwa na uwezo wa kubeba tani 600 kwa siku, kinasafirisha nje asilimia 80 ya bidhaa zake ili kuingiza mapato ya nje na kutengeneza ajira kwa Watanzania na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa na maendeleo ya viwanda.

KEDA Tanzania Ceramics Company Limited inatafuta watu wenye nia ari, pamoja na sifa tajwa kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Kiwanda Cha kutengeneza glasi KEDA Ceramics Company Limited.

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags: ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *