NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania

Filed in Ajira by on 27.09.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania

NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania

NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Toyota Tanzania Ltd imekuwa msambazaji wa kipekee wa Toyota nchini Tanzania tangu 1965, ililetwa nchini Tanzania na familia ya Karimjee kupitia kampuni yao ya International Motor Mart.

Kampuni mama ya Karimjee Jivanjee Ltd, ina mizizi mirefu Afrika Mashariki, tangu mwaka 1825 walipofika kama wafanyabiashara kutoka Cutch, India, na kuweka makazi Zanzibar.

Toyota Tanzania ni kampuni ya tatu kwa kongwe ya Toyota Distributor barani Afrika, na ndiyo inayoongoza katika soko katika sehemu mpya ya magari nchini Tanzania.

Kampuni hiyo inatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Kampuni ya Toyota Tanzania Ltd.

DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *