TAARIFA Muhimu Kwa Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI

TAARIFA Muhimu Kwa Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI
TAARIFA Muhimu Kwa Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI
Kwa waombaji wote walioitwa kwenye usaili, mnakumbushwa kuhusu utaratibu wa majina kwenye vyeti vyenu:
- Kama kuna tofauti ya herufi, ufupisho wa jina au matumizi ya majina mawili katika vyeti vya taaluma huku katika cheti cha kuzaliwa/Kitambulisho cha taifa au mpiga kura yapo matatu ambayo yamebeba mawili yanayoonekana katika vyeti vya taaluma, unapaswa kuwasilisha kiapo cha jina (Affidavit)
- Majina tofauti, kuongezeka kwa jina, kubadilika kwa jina la ukoo au baba au lolote au yote, kuunganishwa kwa majina mawili, unapaswa kuwasilisha Hati ya kubadilisha jina (Deed Poll) iliyosajiliwa.

Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
