YANGA vs Silver Strikers Raundi ya Pili CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 28.09.2025 0 Comments
Share This Post
YANGA vs Silver Strikers Raundi ya Pili CAF Champions League 2025/2026

YANGA vs Silver Strikers Raundi ya Pili CAF Champions League 2025/2026

YANGA vs Silver Strikers Raundi ya Pili CAF Champions League 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Klabu ya Yanga SC imefanikiwa Kufuzu hatua ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kufuatia ushindi wa jumla wa 5-0 dhidi ya Williete Sc ya Angola.

Katika mchezo wa Kwanza Yanga SC ilishinda 3-0, kabla ya kumaliza kazi nyumbani Benjamin Mkapa kwa ushindi wa 2-0.

Baada ya Kufuzu hatua hiyo Yanga Sc itacheza na Silver Strikers ya Mali iliyotinga raundi ya pili kwa goli la ugenini kufuatia sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Elgeco PIus kabla ya sare ya 0-0 kwenye marudiano.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *