KUITWA Kazini Chemba District Council 3/10/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 03.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Chemba District Council 3/10/2025

KUITWA Kazini Chemba District Council 3/10/2025

KUITWA Kazini Chemba District Council 3/10/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kufuatia kutolewa kwa tangazo lenye kumb. Na.CDC/1.20/VOL.1/45 la tarehe 21 Julai, 2025 na kufanyika usaili wa Wakusanya Mapato wa tarehe 7 Agosti, 2025 katika Ukumbi wa Mkurugenzi Mtendaji.

Hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba anawatangazia walioshinda usaili kuripoti Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji tarehe 06 Oktoba, 2025.

Aidha kila POS Opperator anatakiwa kuja na vyeti vyake vya Shule alivosoma, vyeti vya Chuo, Cheti cha kuzaliwa na Kitambulisho cha Taifa (NIDA).

Orodha ya Walioitwa Kazini ni imeambatanishwa hapa chini.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *