KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bagamoyo District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bagamoyo District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bagamoyo District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Bagamoyo anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 07 Oktoba, 2025 katika Ukumbi wa Chuo cha Sanaa na Utamaduni (TaSuBa) kwa muda kama unavyoonekana kwa kila jina la msailiwa.
NB: Kila Msailiwa afike akiwa na Kalamu.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bagamoyo District Council
