VETA yaongeza Muda wa Kutuma Maombi Kwa Kozi za Muda Mrefu 2026

VETA yaongeza Muda wa Kutuma Maombi Kwa Kozi za Muda Mrefu 2026
VETA yaongeza Muda wa Kutuma Maombi Kwa Kozi za Muda Mrefu 2026
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa dirisha la udahili kwa kozi za muda mrefu katika vyuo vya VETA limeongezwa kuanzia tarehe 03 hadi tarehe 17 Oktoba, 2025.

Maombi yatafanyika kupitia mfumo (online application) wa VETMIS, unaopatikana kwenye tovuti ya VETA au kwa nakala ngumu (hard copy) za fomu zinazopatikana kwenye vyuo au tovuti ya VETA.
Malipo ya fomu ni Shilingi Elfu Tano tu (5,000) na yatalipwa kwa Namba ya Malipo (Control Number) ambayo itatolewa wakati wa kurejesha fomu chuoni au kuwasilisha kwenye mfumo.
Kwa waombaji wote waliokwisha kutuma maombi na kupokea Namba ya Malipo (Control Number) lakini bado hawajalipia, wanahimizwa kufanya malipo hayo ili kukamilisha usajili wao.
Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tovuti ya VETA www.veta.go.tz, piga simu 0755 267489 au fika katika chuo cha VETA kilicho karibu nawe.

VETA yaongeza Muda wa Kutuma Maombi Kwa Kozi za Muda Mrefu 2026
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: VETA yaongeza Muda wa Kutuma Maombi Kwa Kozi za Muda Mrefu 2026