KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dodoma City Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dodoma City Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dodoma City Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa kwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Dodoma Mjini anawatangazia waombaji wa nafasi za Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo na Makarani Waongozaji kufika kwenye usaili utakaofanyika tarehe 11 Oktoba, 2025 siku ya Jumamosi badala ya tarehe 08 Oktoba, 2025 katika Vituo vilivyopangwa kwenye Kata husika kuanzia saa 4:00 Asubuhi – 8:00 Mchana.
Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili imeambatanishwa hapa chini kwenye PDF.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dodoma City Council
