KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 LONGIDO District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 LONGIDO District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 LONGIDO District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge n Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Longido anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 08/10/2025 Saa 02:00 asubuhi katika Vituo vilivyooneshwa kwenye orodha ya majina ya wasailiwa iliyoambatishwa na Tangazo hili.
Wasailiwa wote wanapaswa kufika na Kitambulisho kimojawapo kati vitambulisho vya vifuatavyo (NIDA, Kadi ya Mpiga kura, Leseni ya Udereva) na vyeti vya taaluma na vya elimu ya Sekondari.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 LONGIDO District Council
