KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Maswa District Council

Filed in Usaili by on 06.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Maswa District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Maswa District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Maswa District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Maswa Mashariki na Maswa Magharibi anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo na Makarani Waongozaji, kuwa usaili utafanyika tarehe 11 Oktoba, 2025 katika Ukumbi wa Halmashauri kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Mambo ya kuzingatia:-

  • Usaili utafanyika tarehe 11 Oktoba, 2025 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuanzia 2:00 asubuhi.
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na Kitambulisho kwaajili ya Utambuzi.
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva, au Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Kijiji/Mtaa.
  • Kila Msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kila mmoja aje na kalamu ya rangi ya bluu/ Nyeusi kwa ajili ya kuandikia.
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika Tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya Tangazo husika.

Orodha ya wanaoitwa kwenye Usaili na tarehe ya usaili imeambatanishwa hapa chini kwenye PDF.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *