KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Masasi Town Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Masasi Town Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Masasi Town Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia
masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Masasi Mjini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 11/10/2025 katika Ukumbi wa Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Masasi (Masasi FDC)) kuanzia saa 2:00 asubuhi.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Masasi Town Council
